Natamani ningekua nimezaliwa miaka 80 iliyopita!!!!

Hata mie maisha kama haya kwa kweli ningeyaona karaha tena ya hali ya juu. Marafiki zangu waliponieleza haya nilibaki nawasikitikia kusema kweli.

 
Mnafanya kazi gani?

This has nothing to do with anything here.Stick kwenye challange za maisha ya leo ni jinsi gani wanafamilia wanateseka na mfumo wa maisha kwa ujumla?
 
unaamini kuwa mazingira unayoishi ndio yanadetermine fate nayo au fate yako iko mikononi mwako??

Tatizo ni mfumo wa maisha ulivyowekwa.Ili muyafanye kuwa maisha yawe safi trust me,mmoja lazima abaki nyumbani angalau mpaka mfike mahali malezi ya wana hayahitajiki sana.Na hapa ukimgusia mkeo suala hili ndipo utakijua kilichomfanya kanga awe na madoadoa.Kila kitu kinafanywa kwa kufuata mkumbo tu!!
 
unangojea u-sisi?zama hizo zishapita

Zama ndio nini?Kanuni za maumbile hazibadiliki ziko vilevile.Hakuna jamii iliyowahi kupata mafanikio ikiwa na u-mimi.Hiyo nitabia mbovu sana.Unadhani u mimi unamanufaa yoyote?Hapana.Hata kwenye familia tu,baba na mama wakiwa na u-mimi familia inaparaganyika!
 
pamoja na mfumo wa maisha.

Tatizo langu huwa naamini kuwa naweza chagua nachotaka kufanya.

Kama nataka kuwa nyumbani saa kumi na moja nitatafuta njia na nita-sacrifice mengine yoote.

Just Priorities.

 


Mi niliyajua hayo na ndio maana niliamua kuoa MPEMBA, mama wa nyumbani............................LOL
 

Haya makitu yaliwahi sababisha nikafanya usanii fulani ofisini ili tu wasinihamishie dar
 

Mkuu kwa hali ya maisha ya sasa nyie endeleani tu kuvumiliana hivyo hivyo hadi mpate alternatives mfano kujiari mwenyee, kubadilisha kazi, kuishi karibu na kazini n.k

Nilichofurahi ni kwamba inaonekana wote mna-acknowledge hiyo situation, so it's just a matter of time na kujipanga zaidi
 
hamia mikoani
 
Kongosho,what if ukiambiwa usakrifaisi kazi yako ili familia na wanao uwalee vyema?Kiukweli changamoto na ujuaji wetu ndo unaotugharimu.Angalia vyema vijana wa umri wa miaka 25 kurudi chini wengi wao wamelelewa na HG tazama namna wanavyoyachukulia maisha,utashangaa.Tuna tatizo kubwa sana la kimalezi na hili linachangiwa na aina ya maisha tunayoishi!
 
Last edited by a moderator:
bora huyo rafikiyo mke wake yupo home atleast watoto wanapata malez na upendo wa mama..
mie nna jiran yangu hapa. ndoa yao inafikisha mwaka wa tatu na mtoto wao ana miaka 2 kasoro sasa, huyu mtoto amekuwa wa house girl na ss majiran zake kias kwamba hata maendeleo ya ykuaji wa mtoto ni house girl anajua, mtoto anapenda nn na nn hapend baba na mama hawajui, mama huyu hata kumlisha mwanae hawez, katoto kalisusa kunyonya kakiwa na miez saba, coz daily mama anatoka saa 12 anarud 5 usiku so anamwacha amelala anarud ameshalala............[

QUOTE=Crashwise;4450203]Kuna rafiki yangu mmoja hapo dar yeye huamka saa kumi iliafike kazini saa moja na nusu na jioni hutoka saa moja na kufika saa nne au saa tano..huwa namshangaa sana maisha gani sasa hayo hapo mke watoto watapata mapenzi ya baba kweli mama atapata haki yake kweli[/QUOTE]
 
This has nothing to do with anything here.Stick kwenye challange za maisha ya leo ni jinsi gani wanafamilia wanateseka na mfumo wa maisha kwa ujumla?

Kwahiyo kazi unayoifanya haihusini na mfumo wa maisha?umeanzisha thread upewe ushauri,kuna certain type follow up questions depending on the type of advice someone is about to give you.

Inawezekana kazi yako ni too stressful,so kuna advice zinazoendana na hizo type of challenges.Maybe kazi coupled with transportation kama alivyosema BAK might be the problem.Usiwe defensive,open up na ujiskikie huru kupokea all types of advice hapa kwenye public forum ya JF.

Kumbuka kwenye bandiko la kwanza kwamba tatizo kuu ni "Kila mmoja wenu amechoka kwa stress za kazini",ndo maana nikauliza ni kazi gani,wengine walioongelea kuhusu usafiri,hilo nalo ni part of the problem licha ya kwamba hukusema if that was actually the case.
 
Last edited by a moderator:
hyo ni mpaka weekend?
 
Unadhani w/end itabadili yote?

yaaah mnaweza kucompasate muda wenu mnaokosa pamoja weekend mfano kama hii ndefu ya wiki hii,tafuta muda zaidi na wifi muweke mambo sawa.kama watoto ni wakubwa why not take atrip away kama cash inaruhusu?
 
Kama unaishi Dar ni sawa..
Ila ukienda mikoani unapata muda wa kukaa na familia yako mpaka basi..
Wakati mwingine tusiache mihangaiko ya maisha itawale kila kitu..utakuja kukuta mwana si wako!

Ni kweli Mkuu, unahangaika kutafuta na kutafuta wakati wa kutumia unajikuta huna wa kutumia nae kwa sababu familia imeshasambaratika.Maisha ya Dar es salaam ni very stressful.
 
yaaah mnaweza kucompasate muda wenu mnaokosa pamoja weekend mfano kama hii ndefu ya wiki hii,tafuta muda zaidi na wifi muweke mambo sawa.kama watoto ni wakubwa why not take atrip away kama cash inaruhusu?

Sidhani,malezi ya watoto yanahitaji zaid w/end,na changamoto nilizotaja hapo juu w/end ni ndogo!
 
Sidhani,malezi ya watoto yanahitaji zaid w/end,na changamoto nilizotaja hapo juu w/end ni ndogo!

sikia nyie mkiwa sawa na watoto nao mtaweza kuwalea sawa,hiyo kwenda trip sio remedy ya kila siku kakaangu ila ni step ya mwanzao ya kurudisha uhai wa kihisia ndani yenu,to be frank watoto katika hili naomba niwaweke wa pili kidogo,mek up with her mkirudi huko u will see the diffrenc,mtaweza kuongea,kujadili,na kupanga ni jinsi gani muwe na ndoa romantic,watoto wenye malezi bora bila kusahau na account zilizonona!maana mi nikiwa na stress hasa kuhusu ndoa hata kazi sifanyi vizuri.mkiwa huko for this two day u will see her tofauti sana,afa kama utaniruhusu nipe user name yake au email nimtip nini afanye on ur week away!sum of the things are WOMEN STUFFs.
 

Unaufahamu umuhimu wa ustawi wa wana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…