sile hivyo na kama ingekuwa ni sababu ya kitai basi ningempenda mmassai mwingine insteadMbona umemzimia mmasai sana au hile kitu yao wanayoachaga kipindi wakifanya jando ndio imekuchanganya? Je na huyo katerero haingii kitu kwa mmasai?
usiruhusu mateso, usiruhusu majeraha ya moyo.
mwezi wa pili sasa akinichenga yaan hatujalala pamoja since that..........Come down baby... he will be there for u...
Sawasawa kungwi husninyo. Mmalizie dozi
nataman mdogo wako wa mama mmoja,baba mmoja ajikute amenasa nliponasa nione utafanyajedozi imeishia hapo.
kweli dia nimekosa wa kuwa mme (not just mwanaume ni mwanaume)
kama ni wanaume wa kupeana kampani sichukui hata 2 hrs bila kumnasa, thanks GOD my body inaniuza haraka
hapa nazungumzia mume na si hawara
huyo mmasai kama vile anapassword zangu za luv yaan sikubali
smile dear nielekeze kila kitu ntakubali ila sii cha kuachana na huyu mmassai.
nataman mdogo wako wa mama mmoja,baba mmoja ajikute amenasa nliponasa nione utafanyaje
thanks kwa ufafanuziDuh.Hapo kwenye Red kumbe....!!!!
Marytina bwana hishi vituko .Owkey wacha nikuulize sasa.Are you a ride or die romantic chick?
Let me explain what the definition of that for those who don't know. A ride or die chick stands up for her man or with her man whether she married to him or not. If something needed to be done and the man can't do the chick steps in and handle that for her man. I am not talking about physical or going off to pop someone. But, to simply be there for her man THICK OR THIN.
A ride and die chick is strong, intelligent, powerful with words, can adapt to any situations without wavering in doubt, and she can HANDLE anything that comes her way. She can be a mother, co-worker, a wife, a girlfriend, business woman, and much more. She is the reason WHY THE MAN SHE IS WITH, standing strong and powerful.
Now since you know the definition of the ride and die chick,
Are you that ride and die chick?
unanitusi kirejarejaKiukweli me sikushauri umwache, hutapata kitu kama cha kwake manake wamasai wakitairiwa wanaachwa na kitu cha ziada ili kumfikisha mwanamke kunako kilele kiulainiiiii. Sidhan kwa styl hiyo kama utaweza kumuacha. PANA CHEZEYA MASAI KWENYE MAJAMBOZ!
hujanikwaza ila unanikata maini kunishauri nimwache mmasaiduh! Ni laana au nin! Nway, samahani kama nimekukwaza.
Wewe hautamani kufika 50+?dozi imeishia hapo.
kwani nikoje????????SIJAKUSOMA[/QUOTE
shwari tu!nilikuwa nakutambulisha ki-mc mc!
Usikate tamaa, endelea tu kujibembelezea kwa mmassai wako!! Alafu marytina....kwani umemkosea nini dear hata atake kukukwepa??