natamani ningekuwa na miaka 50+ ..........

kuwa na miaka hamsini sio solution.

Jiamini bidada.
unaogopa kutoswa na huyo Mmasai lakini huna uhakika kuhusu hilo.
Labda naye anaogopa kutoswa nawe. :A S embarassed: Jiulize na muongelee mambo hayo na huyo Mmsai .
 
fictitious story though naona watu wanajitahidi kumwaga ushauri..
 

How old are you?
 
hivi kumbe ugonjwa wa mapenzi bado upo. nina miaka sijasikia mtu anumwa ugonjwa huu nikajua dawa ishapatikana. Pole sana Marytina. Maasai, okoa jahazi, kabla hatujamzika mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…