Natamani pasingekuwa na kifo mbele yangu

Natamani pasingekuwa na kifo mbele yangu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nimepata kila kitu hapa duniani.kama ni pesa ninayo kwa Sasa nimebaki na mawazo ya kifo tu nawaza Sana itakuwaje siamini Kama nitakufa na kuacha Mali zote hizi.kungekuwa na uwezo nimuhonge pesa yote anayechukua uhai wetu ningefanya hivyo.ningempa hela yote Kama angehitaji.
 
Wew anza kutenda mema tu, utakua unaongezewa siku za kuishi kila siku na kifo hata siku yakuja ikifaka, utakufa kifo kizur tuu
Anza kugawa hela kiduchu

Anza na mm mr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba njoo pm unipe hata sh elf 50 (50k)
Utabarikiwa mkuu na utapata amani ya moyo
 
tena ww ufe mapema tu ukawaandalie wana lumumba wenzako makao mapya
 
Back
Top Bottom