ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wew anza kutenda mema tu, utakua unaongezewa siku za kuishi kila siku na kifo hata siku yakuja ikifaka, utakufa kifo kizur tuuNimepata kila kitu hapa duniani.kama ni pesa ninayo kwa Sasa nimebaki na mawazo ya kifo tu nawaza Sana itakuwaje siamini Kama nitakufa na kuacha Mali zote hizi.kungekuwa na uwezo nimuhonge pesa yote anayechukua uhai wetu ningefanya hivyo.ningempa hela yote Kama angehitaji.
MUWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE..Wew anza kutenda mema tu, utakua unaongezewa siku za kuishi kila siku na kifo hata siku yakuja ikifaka, utakufa kifo kizur tuu
Anza kugawa hela kiduchu
Anza na mm mr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew anza kutenda mema tu, utakua unaongezewa siku za kuishi kila siku na kifo hata siku yakuja ikifaka, utakufa kifo kizur tuu
Anza kugawa hela kiduchu
Anza na mm mr.
Sent using Jamii Forums mobile app