Elections 2010 Natamani pawepo mdahalo kati ya Nape Nnauye vs Dr. Wilbrod Slaa

Nadhani unazungumzia kinyume chake!maana muulize mwanaCCM yeyote kama atakuambia nani mmiliki wa Kagoda wote chali mpaka leo wakiulizwa wanaanza a e i o u nyiiingi!Mungu amzidishie afya njema Dr wa ukweli ili wezi waendelee kuhanya!
 
LEO 24.07 mida ya ALASIRI DK SLAA,MPENDAZOE NA VIONGOZ WENGINE WATAUNGURUMA KATIKA VIWANJA VYA TABATA LIWITI.source gari ya matangazo
 
Hakuna vigezo vya kumlinganisha Nape wala Mkama na Dr. Slaa mwenye dhamana ya zaidi ya watanzania milioni mbili u nusu (licha ya kuchakachuliwa na vibaka CCM) ni kumshushia hadhi kiongozi huyu wa kitaifa. Nape hajapata kuchaguliwa hata na watu elfu hamsini. Ni mhuni, mropokaji, na anafikiri kutumia tumbo. Ni fisadi sawa na wengine anaong'ang'ania kuwavua magamba tena wa bei poa kabisa. Ananunulika hata kwa cheo cha Ukuu wa wilaya tu. Kamakweli unataka mdahalo basi omba kati ya Dr. wa ukweli na Sindbad wenu.
 
Nape hata kwa John Mnyika hafui dafu itakuwa dr. Slaa
 
Nape hana status ya kusimama na Mh. Rais wangu Dr.W Slaa,yani hata kwa Heche bado hafiti kabisa so tafuta cjui nani mana mi sioni
 
huo mdaharo hautakuwa fair. labda dr slaa vs kamati yote kuu ya kina nape, chiligati, january na wenzao.
 
Huo mdahalo utakuwa hauna uwiana linganifu kwa kuwa wahusika wanapishana nafasi za uongozi katika vyama vyao!!Itapendeza ikiwa Mukama vs Dr Slaa!!
 
Dr Slaa na jk, bilal, shein. pinda,NEC yote ya magamba, makatbu wakuu + uenezi wote wakuu wa mikoa + wilaya. Ukumbi Chimwaga nyumbani kwao, wasijesingzia walkuwa uwanja wa'ugenini
 
Nina wasiwasi hata JK hawezi kufit kwenye huo mdahalo na Dr. Slaa. Labda aingie na nyenzo.
 
Nina wasiwasi hata JK hawezi kufit kwenye huo mdahalo na Dr. Slaa. Labda aingie na nyenzo.
"NYENZO" unamaanisha chabo au?? Well watz tusisahau JK alimwogopa Slaa PhD mwaka jana wakati wa kampeni. Kikwete aligomea kabisa mdahalo na Dr. Na hii tusisahau ikapelekea na wabunge wote wa ccm kupigwa marufuku kushiriki mchakato majimboni tbc1. Huyu mtoto Nepi sijui nape hana hadhi hata chembe kusimama na Dr. Hata mwenyekiti wa CCJ Sitta alimjaribu Dr mwaka jana alipigwa kombola moja tu yupo kimya mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…