Natamani sana Kocha Nabi anipangie Kikosi hiki Jumamosi tarehe 3 July, 2021 ili niupige mwingi mno kisha nipige nyingi kwa Mkapa

Natamani sana Kocha Nabi anipangie Kikosi hiki Jumamosi tarehe 3 July, 2021 ili niupige mwingi mno kisha nipige nyingi kwa Mkapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda

Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
 
Sasa mkuu, wewe ni mwanachama wa Simba, unatamani kikosi cha timu pinzani ili nini kitokee?.

Isije ikawa hayo majina ndio yamepekwa kwenye kamati ya ufundi ili yakapigwe misumari.
Kama tupo ndani ya Basi la Abood tunaelekea Morogoro kutokea Dar es Salaam kwa hiki ulichokiandika hapa ni kama vile sasa tupo Ubena Zomoni tunakaribia sasa Kuingia ( Kufika ) Msanvu Bus Terminal.
 
Kama tupo ndani ya Basi la Abood tunaelekea Morogoro kutokea Dar es Salaam kwa hiki ulichokiandika hapa ni kama vile sasa tupo Ubena Zomoni tunakaribia sasa Kuingia ( Kufika ) Msanvu Bus Terminal.
Kumbuka mnacheza na Yanga sio Kaizer hawa.

Yanga wanaijua Simba in & Out. Senzo yupo upande wa pili hivyo Mikakati na Siri zote za Simba zimeshafanyiwa kazi huku Jangwani.
Zile bao 5 zenu ni kama vile Yanga wanakaribia kuzilipa Jumamosi hii. Wazee wa Yanga tayari wapo Kigoma wanafanya mipango ya mechi zote mbili.
 
Hivi huwa unademkwa na nini kichwani? Wewe shabiki wa simba unaongelea Yanga
Ila kwa bahati mbaya au nzuri, Kikosi bora cha Yanga ndio hicho tu. Yanga haina kikosi kipana hivyo hata Kocha apepese macho vipi kuna zaidi ya wachezaji Saba lazima wacheze.

Hata kwa Simba. Huyu Kocha Gomes kikosi chake mpaka Sub- kinatabirika.
 
Kumbuka mnacheza na Yanga sio Kaizer hawa.

Yanga wanaijua Simba in & Out. Senzo yupo upande wa pili hivyo Mikakati na Siri zote za Simba zimeshafanyiwa kazi huku Jangwani.
Zile bao 5 zenu ni kama vile Yanga wanakaribia kuzilipa Jumamosi hii. Wazee wa Yanga tayari wapo Kigoma wanafanya mipango ya mechi zote mbili.
ingekuwa hivyo sasa hivi mngekuwa mnatangaza ubingwa, Senzo alijaribu kuiba siri zetu lakini tulipompeleka polisi akafyata na ndipo kipindi ambacho yanga alianza kuyumba. Sisi ndio tunamjua Senzo nje na ndani na ndio maana jumamosi tunaenda kutangaza ubingwa.
 
1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda

Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
Mrejeshooo tunaupata wapi.unaupiga mwingi sana humu jf ila unaishia kama hivi
 
1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda

Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
Vipi mkuu bado unahitaji kikosi tar. 25 kiwe hivi hivi au kifanyike marekebisho kidogo ili tuwapige kwa kikosi mnachokihitaji nyie wenyewe
 
Back
Top Bottom