GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama tupo ndani ya Basi la Abood tunaelekea Morogoro kutokea Dar es Salaam kwa hiki ulichokiandika hapa ni kama vile sasa tupo Ubena Zomoni tunakaribia sasa Kuingia ( Kufika ) Msanvu Bus Terminal.Sasa mkuu, wewe ni mwanachama wa Simba, unatamani kikosi cha timu pinzani ili nini kitokee?.
Isije ikawa hayo majina ndio yamepekwa kwenye kamati ya ufundi ili yakapigwe misumari.
Hachezi Mkuu bado anaumwa Kifundo.Ulinzi wa kati nasikia wanajiandaa kumuweka Abdallah Shaibu ' Njinja' apige zile Tackling.
Hapo ndo maafa tutakaposhudia, mara Miquissoooone..!
Kumbuka mnacheza na Yanga sio Kaizer hawa.Kama tupo ndani ya Basi la Abood tunaelekea Morogoro kutokea Dar es Salaam kwa hiki ulichokiandika hapa ni kama vile sasa tupo Ubena Zomoni tunakaribia sasa Kuingia ( Kufika ) Msanvu Bus Terminal.
Hivi huwa unademkwa na nini kichwani? Wewe shabiki wa simba unaongelea Yanga1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh....
Ila kwa bahati mbaya au nzuri, Kikosi bora cha Yanga ndio hicho tu. Yanga haina kikosi kipana hivyo hata Kocha apepese macho vipi kuna zaidi ya wachezaji Saba lazima wacheze.Hivi huwa unademkwa na nini kichwani? Wewe shabiki wa simba unaongelea Yanga
ingekuwa hivyo sasa hivi mngekuwa mnatangaza ubingwa, Senzo alijaribu kuiba siri zetu lakini tulipompeleka polisi akafyata na ndipo kipindi ambacho yanga alianza kuyumba. Sisi ndio tunamjua Senzo nje na ndani na ndio maana jumamosi tunaenda kutangaza ubingwa.Kumbuka mnacheza na Yanga sio Kaizer hawa.
Yanga wanaijua Simba in & Out. Senzo yupo upande wa pili hivyo Mikakati na Siri zote za Simba zimeshafanyiwa kazi huku Jangwani.
Zile bao 5 zenu ni kama vile Yanga wanakaribia kuzilipa Jumamosi hii. Wazee wa Yanga tayari wapo Kigoma wanafanya mipango ya mechi zote mbili.
Kilichokupata hapa mavi yalikutoka.1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda
Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
Arafu mwisho wa siku ukatiwa ki 1,acheni kanga kima ninyi1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda
Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
Mrejeshooo tunaupata wapi.unaupiga mwingi sana humu jf ila unaishia kama hivi1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda
Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
Vipi mkuu bado unahitaji kikosi tar. 25 kiwe hivi hivi au kifanyike marekebisho kidogo ili tuwapige kwa kikosi mnachokihitaji nyie wenyewe1. Farouq Shikalo
2. Shomary Kibwana
3. Adeyum Saleh
4. Dickson Job
5. Bakari Mwamnyeto
6. Tonombe Mukoko
7. Zawadi Mauya
8. Feisal Salum
9. Saido Ntibanzokinza
10. Yacouba Sogne
11. Tuisila Kisinda
Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
Ajichagulie style ya kifo.Vipi mkuu bado unahitaji kikosi tar. 25 kiwe hivi hivi au kifanyike marekebisho kidogo ili tuwapige kwa kikosi mnachokihitaji nyie wenyewe
Hahahahaha umepaniki MkuuNafanana tu na Yule 'anayekukaza' 24/7.
1. Aishi Manula