dinkush 1691
Member
- Apr 12, 2014
- 14
- 10
Kwa nilipo kuna kampuni mbili kubwa nitaagiza kupitia wao..
Na vipi kuhusu kuku wa mayai wao wanaendajeBroiler wanaingia sokoni baada ya wiki nne
Chotara baada ya miezi mitatu mpaka minne. Mpaka hapo kwa kigezo cha muda unaruka na yupi?
Kuku wa mayai wanaanza kutaga baada ya miezi sita, na wakianza kutaga ukiwatunza vzr wanapunguza kutaga baada ya miaka miwili. Then unaweza kuwauza.Na vp kuhusu kuku wa mayai wao wanaendaje
Nakushauri uende na Broiler.Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa.
Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na mchanganuo wake, return ya pesa nitakayoweka n.k kadri ya mchangiaji atakavyoona taarifa anayonipa ni muhimu.
Asanteni 🤝
Nimekuja PM inagoma mkuuPia ukitaka wafanya kazi wenye uzoefu na ufungaji nambie.
Kuna ambao wanasema broiler wanatakiwa wiki 8. Chini ya hapo unalazimisha tu na hatakuwa na kilo za kutosha. Sijui sahihi ni kipi.Broiler wanaingia sokoni baada ya wiki nne. Chotara baada ya miezi mitatu mpaka minne. Mpaka hapo kwa kigezo cha muda unaruka na yupi?
Mkuu kama hutajali naomba muongozo wa ufugaji wa broiler. Mfano kuku 100 gharama zake inakuje yaani kununua vifaranga, chakula, chanjo na kila kitu hadi hapo watakapokomaa kwa kuuzwa.Nakushauri uende na Broiler.
Soko la kuku-chotara gumu sana. Nilifuga kuku-chotara (Kroiler, Sasso) nikiwa na lengo la kufika kuku 800, nilistop kwa kuku 300 baada ya kuwaingiza sokoni na kugundua soko kubwa ni la broiler na kuku-kienyeji pure, chotara walikuwa wanakataliwa. Wakaishia kuoverstay shambani wakanitia hasara kubwa ya chakula.
Kuku broiler 100 gharama zake ni polo nne za chakulaMkuu kama hutajali naomba muongozo wa ufugaji wa broiler. Mfano kuku 100 gharama zake inakuje yaani kununua vifaranga, chakula, chanjo na kila kitu hadi hapo watakapokomaa kwa kuuzwa.
Thanks.Kuku broiler 100 gharama zake ni polo nne za chakula
Starter 2
Grower 1
Finisher 1
Bei zinalingana na sehemu uliopo
Kma mimi huku nilipo
Bei ya starter ni 93000- 88000
Bei ya grower ni 860000
Bei ya finisher ni 82000
Broiler wanatumia chanjo moja tu ya siku ya saba ambayo ni Newcastle na bei yake ni 5000 tu
Mpaka hapo ni ww tu na jinsi utakavowatunza mpk kuwauza ni ndani ya wiki 4 tu unauza ila ukiwa mfuko upo vizuri unawaongezea ata wiki 3 ili upate bei nzuri Zaidi
Aisee tunatofautiana Kiswahili tu sisi wazenji tunaita Polo ila nyie mwaita guniaThanks.
Polo ni nini?
Na je baada ya wiki nne huko ulipo unauza kuku mmoja kwa bei gani?
Pia hujaniambia bei ya vifaranga.
Nashukuru mkuu umenipa pa kuanzia.Aisee tunatofautiana kiswahili tu sisi wazenji tunaita Polo ila nyie mwaita gunia
Sasa apo bei ya soko ya ulipo mimi siijui m nazungumzia kwa mazingira ya zenji apo
Hlf bei ya vifaranga saivi imeshuka sanaa kwa uko kwenu nahisi ni 150,000 up to 140,000
Hhhhhhh nimetembea sehemu kidogo Tz hii kwaio najua lugha za kuongea na mtu wa tofauti na NyumbaniNashukuru mkuu umenipa pa kuanzia.
Polo[emoji23][emoji23]. Nimepata msamiati mpya