Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
Wakuu kwà mda mrefu nimekuwa kwenye shauku ya kufanya biashara ya kuuza pafyume zile za bei kubwa kubwa kuanzia 10. na kuendelea zenye standard mzuri na kuimport mzigo from Dubai to Zanzibar then Tanzania.
Lakini ningependa kupata apdate moja mbili kutoka kwà wadau wa humu jf na jua wanauzoefu wa kutosha.
Capital ndogo ya kawaida kianzio 1.5ml changamoto ni eneo la kufanyia biashara nipo dar maeneo ya sinza but napendelea k,koo kule. Ningependa ushauri kidogo kwà wenye uzoefu juu ya hii biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app