Ohh yaani perfume za kuanzia.10000/=..sawa..kila la heri
Good idea mkuuu umenishauri vyema sanaMkuu kwa 1.5mil pekee ,haitatosha kununua mzigo nakupata frem huko kariakoo unapopapendekeza,
Labda ujaribu kupata space yakuweka meza ndogo huko, kiasi kilichobaki ndio ununue hzio perfume
Ningekuwa mimi pesa yote 1.5mil ningechukua mzigo zile perfume pendwa zaidi,
Kisha naanza kuzitembeza kwenye ma office n.k,
Pamoja nakupost zaidi kwenye social media kila siku kwa kuuza bei nafuu ili mzogo utoke haraka na kufanya mzunguko wa mtaji.
Ndio hivyo mkuu kukodi pango