Natamani sana kuongwa na mwanamke mwenye pesa zake/Degree/PHD.

Natamani sana kuongwa na mwanamke mwenye pesa zake/Degree/PHD.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Kumradhi!!!!!
Siku zote huwa natamani kuwa na mwanamke/Msichana mwenye elimu ya juu Degree/PHD au msichana wa kishua,mwanamke mwenye pesa kama zote kama Mrembo wa Ben Pol.
The dreams comes true.
 
Aisee endelea tu kuota..mwanamke mwenye pesa humuwaza mwanaume mwenye pesa..

Mwanamke asie na pesa humuwaza mwanaume mwenye pesa,nyumba na gari..kwa dunia ya sasa we saka pesa ili kumpata mwenye pesa jombaa

MONEY WILL FOLOW MONEY always!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom