habari wakuu nataman sana kuuza magazeti ila nimekosa mtu wa kunielewesha jinsi ile biashara inavyofanyika. eneo la kuuzia ninalo tayari naomba anaeijua vizuri hiyo biashara anielimishe
Ni rahisi. Chukua gazeti lolote lile mara nyingi huwa wanaandika ndani majina ya wahusika idara zao na no za simu or email. Hapo utapata no za watu wa idara ya masoko na usambazaji, wapigie watakuelewesha.