Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 341
- 699
Hua natamani sana siku moja nitoke nje ya Tanzania niende nchi yoyote ambayo hawajui Kiswahili wala Kingereza.
Baada ya kufika huko sasa, hapa ndipo ninapopatamani niagize maji kwa Kingereza, wasipoelewa niwaonyeshe ishara.
Yaani kifupi vitu vyote nitumie ishara na lugha tusiyo weza kuelewana, niwe kama Wadhungu wanavyo kuja huku kwetu vijijini tunaishi kushangaana.
Watu wote waanze kuninyooshea kidole wakiulizana kuwa mimi ni mtu kutoka taifa gani wasipate majibu.