Elections 2010 Natamani sana mtu akanushe mambo haya kiuhalisia


Ni nani fascilitator mkubwa hapa TZ???Utachekwa wewe.:becky:Ni serikali au ile NGO yako???
 
Tandale one nadhani wewe ni mgonjwa, sera za ccm unazijua 2005? kuna vitu vingine ni utaratibu wa serikali wa kawaida kabisa kama kuajiri waalim na wataalam wa afya.

Ingekuwaje kama wangeandika mambo hayo halafu wakiuke kutekeleza???Kwa nini tusiwape credit kwa waliyotenda??Mtu akisoma mijadala yetu ilivyo na replies za kitoto atajua tu akili za baadhi ya watu hapa si kitu.Hivi,nani hajui kwamba yapo mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi hiki cha miaka mitano???Nani?
 
Ni nani fascilitator mkubwa hapa TZ???Utachekwa wewe.:becky:Ni serikali au ile NGO yako???

Nadhanu huna ufahamu! Ama elimu yako iko chini? Nimekuambia 5.7% wewe umekomaa na 5% Nenda TACAIDS wakupe takwimu. Usiandike ujinga
 
Nadhanu huna ufahamu! Ama elimu yako iko chini? Nimekuambia 5.7% wewe umekomaa na 5% Nenda TACAIDS wakupe takwimu. Usiandike ujinga

Toka 7% hadi 5.7% ni kushuka au kupanda??????????????????????????
 
Natamani kuona picha za majengo na Thamani yake...Je yatalingana au itakuwa kama majengo ja BOT
 


CCM KWISHNEY! Chupi zitawabana sana mwaka huu! Hehehehe! Wananchi WAMEAMKA, hawadanganyiki tena! Hizo TAKWIMU haziwasaidii wakinamama ambao mpaka leo usafiri wao kwenda kwenye zahanati - ISIYO NA DAWA, INAYOVUJA WAKATI WA MVUA, YENYE WAUGUZI WACHACHE, ISIYO NA DAKTARI - ni BAISKELI au MKOKOTENI!

-> Mwana wa Haki
 
Send this message to 50 different people thank you

 
Last edited by a moderator:
Toa data.Wako wangapi kati ya wangapi leo na kama idadi yao inalingana na ile ya 1990.:becky:Imekula kwako.
 
Send this message to 50 different people thank you

 
Last edited by a moderator:
Hivi vilipaswa kuwepo na sio zawadi kwa Watanzania kutoka ccm au Kikwete. Hata kutoa ahadi kuwa watafanya hivi, wataleta yale hayapaswi kuongelewa tena katika kampeni za ccm maana vyote hivyo vilipaswa kutekelezwa na serikali husika. Tatizo kubwa lililopo Tanzania sasa ni kukosa uuongozi bora na kuwepo kwa ufisadi ulioshamiri katika ngazi zote za ccm na serikali. ccm wangekuwa na ushawishi kama wangeacha kukumbatia ufisadi na upendeleo na kuelekeza nguvu kuelekea utawala bora.
 

Hivi unajua maana ya uongozi bora????????Serikali ingekuwa inakumbatia ufisadi leo hii kungekuwa na kesi mahakamani au uhuru wa magazeti kuyaongelea???Mitandao kama hii si ingeshafungwa???Punguza pumba.Fikiri kabla ya kusema.
 
Hivi unajua maana ya uongozi bora????????Serikali ingekuwa inakumbatia ufisadi leo hii kungekuwa na kesi mahakamani au uhuru wa magazeti kuyaongelea???Mitandao kama hii si ingeshafungwa???Punguza pumba.Fikiri kabla ya kusema.

Nonsensical!
 

nakupongeza kwa sababu ya ufinyu wa kufikiri .hayo unayoyaita maendelo ni sawa kama yangekuwa kwa nchi kama somalia na si tz piga hesabu ya gharama zote utoe za wafadhili na michango ya wananchi uone kama hizo hela zinalingana na utajiri wa mafisada wawili wa ccm.rostam na lowasa. huo upuuzi kamsimulie mkeo chumbani.nyambaf
 
Tatizo unalalama lalama na hivyo vi namba bila kutuambia lengo lilifikiwa kiasi gani, unaposema vituo vya afya 98 vilijengwa lengo lilikuwa vingapi/mahitaji ni kiasi gani ona hili la nyumba za waalimu hafau tuone kama utajivunia na jilo
.Mwaka 2008, Serikali ilipanga kujenga takriban nyumba za walimu 22,000, lakini zilizojengwa ni kama nyumba 300; yaani asilimia moja tu. Kutokana na upungufu wa nyumba za walimu, walimu wachache waliopo shuleni wanalazimika kufundisha kwa muda mrefu na hata kufundisha masomo wasiyoyasomea. Hali hii inadumaza elimu. Kuna upungufu mkubwa wa nyumba za walimu. Japo hazitoshi, ni muhimu sasa Serikali itekeleze ahadi ya kujenga nyumba 22,000 za walimu, kama mpango wa MMEM unavyosema, kwa mwaka 2010/ 2011".

Source;
Primary Education Development Programme II (2007-2011): Annual Performance Report FY- 2007/2008)
 

Hivi unajua kweli historia ya familia ya Lowassa na ile ya Rostam???2nd,hivi unajua maana ya Azimio la Zanzibar????Kumbe hata nchi huifahamu.Endelea kumeza maneno.:becky:Siku ukijipanga kwa points uje hapa
 

Rubbish.Uko nje ya topic yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…