Natamani sana zali la kigaidi linikute mamton

ng'o nikajitupe kwa limtu ligaidi kisa umaarufu na pesa wee
haiwezekani
 
Anza Na kudhibiti vibaka kwanza kabla hujaingia kwa majambazi ndio uanze kuota hiyo ndoto ya magaidi

Eti unaweza kushindana Na mtutu kwa kutumia manati?
 
Muko wengi sio wewe Tu Leo hii ikatokea MTU akawapa Silaha vijana walioko mtaani kama Kule Somalia mbona tutauana wotee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…