mgulu
Member
- Feb 14, 2015
- 74
- 34
Wakuu JF,
Kutokana na changamoto ninazozipata katika maisha. Natamani sana kuwa mjasiriamali HASA biashara ya mazao(cereal business) pamoja na ufugaji wa kuku (hasa wa kienyeji).
Hivyo vyote vinahitaji mtaji. Upande wa kuku ninao kama 20 ila napata challenges nyingi mno hasa kwenye magonjwa na uzio maana nawafuga huria. Upande wa biashara fursa zipo hususan wakati huu wa msimu wa mpunga.
Pia ninayo project proposal ya ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Naombe nawazo yenu!!