Natamani simu kali zisiwekwe kioo mbele na nyuma

Yeah ni kweli labda kwa sasa inaeza kuwa na quality....me nyimbo nilikuwa na connect kwenye amplifier kwa kutumia samsung galaxy pocket ina sound poa sa
 
Napenda wireless technologies zinakupa uhuru na kupunguza kero nyingi. Mfano katika upande wa muziki waya ni kero, pia zinakupa advanced features kama kucharge kifaa kingine na kingine, kucheza muziki kwa kushare vifaa vingi, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…