Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
ndugu wana jf Mimi binafsi siamini hata kidogo tathmini ya ccm na serikali yake eti kwa miaka mitatu ya jpm viwanda 3000+ vimejengwa yani uhesabu moja mpk elfu tatu ni maviwanda tu Hapana hili siamini
Hivyo basi natamani wachambuzi huru waje wathibitishe kwamba kweli viwanda hivi vimejengwa bongo au la basi watoe takwimu waviorodheshe kwenye magazeti wataje
jina la kiwanda
bidhaa inachozalisha
Mahali kilipo na
idadi ya watu kilichoajiri
Hii itasaidia watanzania kujua ni kweli kabisa hivi viwanda vipo
Mfano humu jf kuna watanzania nchi nzima waseme viwanda kwenye eneo analoishi vimejengwa wapi na vinazalisha nini.