Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,312
Reaction score
1,475
Ni kwa mapenzi mema kabisa kwamba kwa jinsi kwangu wiki ilivyo njema tungetoka tuende walau hotel Yeyote tutakayoichagua ili niwape hata pole ya Saumu!!!
Lakini kwa mtazamo wa haraka haraka bado nahisi kuna siku kama mbili tena mbele baada ya wiki kuisha, dah!! Kukaa mwenyewe mwenyewe au kila wikiend na Daffi, Gurta na Mr. Rocky ishanichosha.
Ila tena wiki ijayo nitakuwa nimeshachelewa kwa sababu sikukuu itakuwa imeshaisha na siku za sikukuu boss wangu kanipangia kazi kama overtime
sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?

First Born

.
 
Halafu wikiendi yenyewe hii imeangukia 'Salary hooooohh...Salary ho hoh ohhhooo!
Basi ni tabu tupu!
 
Salary ohhoo salary ohhooooo
natafuta salary ohhhooo
salary ohhoooo
 
mwambie huyo dogo maana naona anarukia treni kwa mbele
mkuu weekend hiyo imeangukia patamu na salary juu sasa sijui tukaikamilishie wapi na wale watoto

Tunaanzia Kaloleni maeneo ya shivaz, tunakwena Sakina, then tunarudi Kinjenge family pub na kumalizia nyumbani Moshono.
 
mchukue vivian kwa kuwa ndiyo kwanza anatoka kununua cheni ya kiunoni.
 
FB bana... ngoja ni m-pm AD au Husny maana

naamini ka vile this weekend wako idle kidogo...

BTW Karibu Iddi (ila sasa hii thread itanifanya niombe

kwanza ruhusa kwa shemejio) wewe kuweza kubalika home...lol
 
Ni kwa mapenzi mema kabisa kwamba kwa jinsi kwangu wiki ilivyo njema tungetoka tuende walau hotel Yeyote tutakayoichagua ili niwape hata pole ya Saumu!!!
Lakini kwa mtazamo wa haraka haraka bado nahisi kuna siku kama mbili tena mbele baada ya wiki kuisha, dah!! Kukaa mwenyewe mwenyewe au kila wikiend na Daffi, Gurta na Mr. Rocky ishanichosha.
Ila tena wiki ijayo nitakuwa nimeshachelewa kwa sababu sikukuu itakuwa imeshaisha na siku za sikukuu boss wangu kanipangia kazi kama overtime
sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?

First Born

.

EHH!

Asha D alishasema ana mume wake! je utamuombea ruhusa kwa mumewe..?

faiza fozxy ana gozi.. wenyewe wana miaka 40 ya ndoa... je utaliomba ruhusa gozi utoke na mkewe

husninyo & AD ... sina uhakika...

week end njema Mkuu!!!!
 
Tunaanzia Kaloleni maeneo ya shivaz, tunakwena Sakina, then tunarudi Kinjenge family pub na kumalizia nyumbani Moshono.

Mhhhh huko Shivaz wewe ni member nini naanza kupata wasi wasi na wewe
 
Mhhhh huko Shivaz wewe ni member nini naanza kupata wasi wasi na wewe

hapana namaanisha tutakuwa na hao ma mumsupz, tena mchana kweupeeee! Huko ikifika sa kumi na moja hunikuti.
 
Back
Top Bottom