First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Kati ya hao nani mkali wa nyonga?
Kati ya hao nani mkali wa nyonga?
Salary ohhoo salary ohhooooo
natafuta salary ohhhooo
salary ohhoooo
Bingwa wa kiduku habari yako bana?
Halafu wikiendi yenyewe hii imeangukia 'Salary hooooohh...Salary ho hoh ohhhooo!
Basi ni tabu tupu!
hiyo haichezwi kwa style ya kiduku.
mwambie huyo dogo maana naona anarukia treni kwa mbele
mkuu weekend hiyo imeangukia patamu na salary juu sasa sijui tukaikamilishie wapi na wale watoto
mchukue vivian kwa kuwa ndiyo kwanza anatoka kununua cheni ya kiunoni.
Ni kwa mapenzi mema kabisa kwamba kwa jinsi kwangu wiki ilivyo njema tungetoka tuende walau hotel Yeyote tutakayoichagua ili niwape hata pole ya Saumu!!!
Lakini kwa mtazamo wa haraka haraka bado nahisi kuna siku kama mbili tena mbele baada ya wiki kuisha, dah!! Kukaa mwenyewe mwenyewe au kila wikiend na Daffi, Gurta na Mr. Rocky ishanichosha.
Ila tena wiki ijayo nitakuwa nimeshachelewa kwa sababu sikukuu itakuwa imeshaisha na siku za sikukuu boss wangu kanipangia kazi kama overtime
sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?
First Born
.
Weekend njema wana MMU!
Enjoy and stay blessed.
Tunaanzia Kaloleni maeneo ya shivaz, tunakwena Sakina, then tunarudi Kinjenge family pub na kumalizia nyumbani Moshono.
Mhhhh huko Shivaz wewe ni member nini naanza kupata wasi wasi na wewe