Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari wapenzi wa soccer.
Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025.
Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League 24/25 Na Simba SC awe bingwa wa CAF Confederation Cup 24/25.
Lengo tushuhudie Derby ya kariakoo ndani ya mashindano makubwa ya bara letu la Africa. Kama ambavyo tumeshuhudia Derby ya Cairo Kati ya Al Ahly Na Zamaleck.
Hapo tutafaidika katika kutangaza mpira wetu duniani kote.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu