Natamfuta mtaalam wa Greenhouse

msani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
1,801
Reaction score
1,191
Habari za kazi wakuu,natafuta mtaalamu wa greenhouse. Ninajiandaa na project endelevu ya kilimo kwa greenhouse ninachohitaji ni mtaalam ushauri elekezi ambaye tunaweza kufanya nae makubaliano.
Nataraji kupokea ofa mbalimbali nami nitafanya kazi na mmoja au wawili kulingana na ubora wa huduma na gharama.
Kama wewe unahusika na greenhouse tuwasiliane.
Nahitaji mtaalamu ambaye tayari ana kazi za mfano kwa jiji la dsm.
 
Tafuta kuna thread humu wale wakenya wa amka na badilika TBC1 wanatengeneza kwa million tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…