Natamfuta Rafiki wa Kike Age (22 to 29)

Natamfuta Rafiki wa Kike Age (22 to 29)

... Wishing you the best...
hapa JF wapo wakila aina, nawanavyovigezo vyote ulivyovitaja kwa kutumia mashine maalum za KICHINA.!
 
... Wishing you the best...
hapa JF wapo wakila aina, nawanavyovigezo vyote ulivyovitaja kwa kutumia mashine maalum za KICHINA.!

Hapa sijakuelewa, wachina wanamtengeneza mtu kuwa mwenye elimu ya chuo pia?
 
Heshima mbele JF, nimetafuta kimya kimya bado kufanikiwa nimeamua kuutumia huu mtandao wa JF kutangaza kwamba natafuta rafiki wa kike ambaye ni kuelekea uchumba na ndoa!

Wasifu wake:
1. Umri uwe 22 mpaka 29
2. Asiwe na mtoto
3. Elimu ya chuo (diploma au digrii)
4. Awe mzuri wa kawaida, akiwa mzuri sana nitafurahi vile vile. (Ila asiwe mporipori)
5. Mkristo au mwislamu anayeweza kuuishi ukristo
6. Awe ana kazi (ya kuajiriwa au ya kujiajiri), asiwe idle.

Mimi nina miaka 32, nina elimu ya chuo kikuu, ninafanya kazi ya kuajiriwa.
Katika kudumisha urafiki wetu weekend ndio tutakuwa tunatoka!

Asanteni wa ukweli na wa masikhara.

ngoja waje
 
Me hapo pa weekend nmepapenda..mweh kweli utadumisha milele!
Mwya utapata tu alllll the best Raimundo
 
Last edited by a moderator:
Heshima mbele JF, nimetafuta kimya kimya bado kufanikiwa nimeamua kuutumia huu mtandao wa JF kutangaza kwamba natafuta rafiki wa kike ambaye ni kuelekea uchumba na ndoa!

Wasifu wake:
1. Umri uwe 22 mpaka 29
2. Asiwe na mtoto
3. Elimu ya chuo (diploma au digrii)
4. Awe mzuri wa kawaida, akiwa mzuri sana nitafurahi vile vile. (Ila asiwe mporipori)
5. Mkristo au mwislamu anayeweza kuuishi ukristo
6. Awe ana kazi (ya kuajiriwa au ya kujiajiri), asiwe idle.

Mimi nina miaka 32, nina elimu ya chuo kikuu, ninafanya kazi ya kuajiriwa.
Katika kudumisha urafiki wetu weekend ndio tutakuwa tunatoka!

Asanteni wa ukweli na wa masikhara.

Shukrani nyingi kujieleza umeelekea poa,

tupo je, utaweza kuvuka ngambo ? Tukutumie tiketi na visa.
pili kwanini Mwisliamu aiishi ukristo na isiwe mkristo aiishi uwislamu.?
Tutafurahi kukunyakua kwetu.
 
Shukrani nyingi kujieleza umeelekea poa,

tupo je, utaweza kuvuka ngambo ? Tukutumie tiketi na visa.
pili kwanini Mwisliamu aiishi ukristo na isiwe mkristo aiishi uwislamu.?
Tutafurahi kukunyakua kwetu.

Nashukuru mkuu, tuombeane maana yote yanawezekana.

Hapo pa kuvuka ngambo sijakupata. Mimi naishi Dar, ningependa iwe mtu wa maeneo ya Dar a karibu. Kuepuka usumbufu na gharama za urafiki wa mbali.
 
Rafiki au mchumba..mana category nyingine zipo kimchumba mchumba.

Of course ni kuelekea uchumba, lakini hamwezi kuanza moja kwa moja lazima kuwa na kipindi cha urafiki ili kila mmoja afanye informed decision.

Refer kwenye quote hiyo chini

Heshima mbele JF, nimetafuta kimya kimya bado kufanikiwa nimeamua kuutumia huu mtandao wa JF kutangaza kwamba natafuta rafiki wa kike ambaye ni kuelekea uchumba na ndoa! ...
 
hujaweka wasifu wako wa nje loh eg short,shortest,tall,white,black
 
mmmh Labda mila haziruhusu... "kipindi cha urafiki" maana kuna risk hapo!
 
Back
Top Bottom