Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Kutokana na tatizo la ajira, vijana wengi wanaishi kwa msongo huko chuoni juu ya vipi wataishi baada ya masomo.
Kwa akili zangu timamu, mimi kijana ninaesoma Shahada ya kwanza ya Ualimu, katika moja ya chuo hapa jijini Dar es Salaam, nina imani kuwa sitakaa mtaani muda mrefu nikisubiri ajira, bali nitamaliza na ajira zitakapotangazwa na mimi mara hiyohiyo nitapata.
Nini jeuri yangu?
Kama ambavyo watoto wa wakubwa serikalini hawawazi kuhusu ajira na mimi mwana wa ufalme kupitia Ahadi za Neema za Kristo sitakaa mtaani.
Yesu Kristo atamanipulate mfumo wa ajira na kuweka jina langu. Nami nitakuja hapa hapa JF kushuhudia.