Natangaza Ndoa

Una maanisha kuwa, hao watu wapo kwenye ndoa kwa maana ya kuwa wamesha oana, na sasa wameamua kubariki ndoa zao au sio...!?

Ewaaaa....nadhani alimaanisha hivyo. Labda walikuwa wanaishi katika ndoa iliyofungwa kiserikali au kimila, sasa wanataka kuibariki iwe ya ki-Mungu.
 
nadhani hapo kwenye nyani ngabu umekosea aisee.iyo mzigo ni yangu
 
mi napinga hizo ndoa zote...coz mi nimekuwa isolated y nt me?

Labda kwa vile una swaga za kichovu. Hivi vi kina Lizzy vinapenda ma bad boys walio rough around the edges and who can spank and beat it up the way it is supposed be.
 
nadhani hapo kwenye nyani ngabu umekosea aisee.iyo mzigo ni yangu

Mkuu umetoa mahari???? Mwenzako ameshatoa na mipango ndo hivyo inaendelea,kama una pingamizi m-pm Rev Masa atakusaidia.
 
nataka kukuongeza ww uwe mke wangu wa tatu!ili kitambi changu kipungue.

Mkuu mbona unaogopa kivuli chako mwenyewe?? Inaonekana una hasira sana mkuu,si issue anzisha thread yako kuz hujalazimishwa kuchangia hapa. Acha kugombana na keyboard.
 
mkuu Gbollin heshima mbele,em nikabidhi wangu haraka halafu kwa kukusaidia huyo wako i mean Husninyo nilimuona na Sharohalo lkn anamilikiwa na dogo mmoja anaekwenda kwa jina la figganigga. Kama sitapata wangu niweke mapokezi na katavi tukawinde huko

Mkuu,kamati bado ziko wazi wa unaruhusiwa kutuma application kwa Invisble au Rev Masa, sie kwetu marufuku mwanaume kumtafutia mwanaume mwenzake mke. Kama una swagga za ukweli utawapata tu.
 
kamanda peana na mimi mmoja usikamate mtu mbili mwenyewe bana

Mkuu,nasikia babu Asprin anapumzika kwa lizzy. Hivi Krolokwin yumo humu ndani??
 
Mi niachieni, na fasi ya mama mchungaji, naskia atakae fungisha ndoa hajaoa.

Wametengana na Lizzy ila mpaka tarehe ya ndoa itakapofika itakuwa tayari wamepatanishwa.

Vipi Krolokwin hakufai???
 
Mkuu,nasikia babu Asprin anapumzika kwa lizzy. Hivi Krolokwin yumo humu ndani??

Asprin ni kabaila anamiliki wajukuu wote wa kike,hicho kidonge kichungu saa hizi kiko famasi kikiingia utakiona tu ila nadhani ni MSEJA
 
Hivi kuna mtu yeyote kanionea Lizzy?

Mkimwona mwambieni babu yake anammisi sana eti. Anasikitika kampotezea sana.

Babu anarudi kitandani kusononeka.
Babu nlikua nimelala nikasikia umeniita..
 
Lizzzzzzzyyyy!!! Rev anakuhitaji,mpatanishi amekuja haya nendeni mka-solve mambo yenu.
Alafu wewe mbona hujatulia???Juzi umenibambikia mume wa mtu alafu leo nirudi kwa Rev??
 
Alafu wewe mbona hujatulia???Juzi umenibambikia mume wa mtu alafu leo nirudi kwa Rev??

Nimetulia tena sana,nilipokufungulia skredi kuwa moyo wangu umekudondokea Rev alinipiga stop kuwa wewe ni mali yake teh teh teh, Rev yupo kwenye mipango ya harusi sasa plz rudi kwake ili mipango ya kufungisha ndoa iwezekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…