Natangaza Ndoa

haya mie na buji twasubiri askofu atufungishe ndoa ya mkeka hii
 
nataka watundu wa vitendo
nmmmhhh we mtundu wa maneno
( Hufai)
napenda wanao onekana wapole usoni ..
lakini kumbe wamezidi kete....

Hivi wewe ka-Afrodenzi hii jeuri unaitoa wapi? Mpaka nikum@#$%& wewe ndo utakuwa na adabu. Kichwa chako
 
Hivi wewe ka-Afrodenzi hii jeuri unaitoa wapi? Mpaka nikum@#$%& wewe ndo utakuwa na adabu. Kichwa chako

mmmhhhh
Hivi kwanini na we unapenda kuonyesha Jeuri
wadhani kila mtu atakukumbatia mmmhhhh
Pole sana ..Embu jaribu kuni @#$%& tuone....
Afadhali mimi na kichwa ntakwambia wewe una nini baadaye mmhh
 
hongera kwa kutangaza nia,lkn kuwa makini wachumba wa siku hz bwana,hawaamnki kabsa.thanks
 
mmmhhhh
Hivi kwanini na we unapenda kuonyesha Jeuri
wadhani kila mtu atakukumbatia mmmhhhh
Pole sana ..Embu jaribu kuni @#$%& tuone....
Afadhali mimi na kichwa ntakwambia wewe una nini baadaye mmhh

Hivi hujui kuwa jeuri dawa yake kiburi? Ukiendelea nitakuchapa mimi...ooohoooo
 
Jumapili iko powaaa kabisa...yaaani haina majotroooo.

Hii imekaa poa mie najiinjoyi na Valuu hapa tabata kwa...............................na ile kitu inaitwa kitimoto sijui ahhhh goooooooooshi sory kwa waisilamu i didn't mean to wakosea
 
Hii imekaa poa mie najiinjoyi na Valuu hapa tabata kwa...............................na ile kitu inaitwa kitimoto sijui ahhhh goooooooooshi sory kwa waisilamu i didn't mean to wakosea
Hujambo mama? Habari za abotabab!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…