Nitawaomba wananchi wenzangu wa LINDI..kunipa nafasi..nikasimamie maslai yetu(wananchi)walala hoi..nikakomae na walala Kheri..wasije tupiga bao la kisigino
Naanza na ibara ya 8(vifungu vyote)Ibara 9(vifungu vyote)Ibara ya 11(vifungu vyote)
VIFUNGU VINGI VIKO KINYUMENYUME