Natangaza nia ya kumuoa yule mama ambaye roli lake lilizama mto wami kama hana mme: Bila mume makini mama atapata tabu

Gari yenyewe unayoifanya sababu ya kutupiga saundi umeiona?

Au mtanunua jipya mana niliwahi msikia akisema alikuwa nalo lile moja tu.
 
mwajuma atakuwa mke wa pili bado Nina nafasi tatu zinatafta watu bado sijapata
 
Hakuna ambaye hataki kata bina kubwa! Kuna kumwomba Mungu kisitokee kitu wakati unatafuta ili ukate Bima kubwa!

Kwa haya maelezo yako, wewe naamini una waza biashara kama theory, and not practical kitu halisi!
 
Nadhan angekuwa na mume hata hapo asingefika! .usimharibie maisha yake lol..Mambo ya kuanza kulea mwanaume yanaanzaje Tena! Yule ashachora ramani yake ndo maana Hana kuvunjwa moyo. Yaan ashaconnect dots hapo anazifatisha tu😋
 
Kama utajili Ni DOTS Basi wachora piko wote wangekuwa matajili; mi nataka nimsaidie!
 
Kama utajili Ni DOTS Basi wachora piko wote wangekuwa matajili; mi nataka nimsaidie!
Mtu unamsoma kwa njia nyingi tu! Mie sitaki kukusoma kuwa picha kuubwa akuu...haya kaendeleze "utajili"kila la heri!
 
Mtu unamsoma kwa njia nyingi tu! Mie sitaki kukusoma kuwa picha kuubwa akuu...haya kaendeleze "utajili"kila la heri!
Unamzibia mwenzio asipate mme; Wakati wewe una kauzu wako mnakula maisha!
Kwanini wanawake hampendani?
unataka huyo mama aendelee kuzini Hadi lini?
unafaham kuwa Mungu Ni wa Maagano, Vipi Kama huyo mama alimuahidi Mungu hatatenda dhambi akifanikiwa, na alipopata roli akazimi ndo ikawa pigo la Gari kuzama mtoni.
Akiolewa Atapata hifadhi sana
 
😄😄Simzibii mkuu..kila la heri tualikeni kwa kula mpunga
 
😄😄Simzibii mkuu..kila la heri tualikeni kwa kula mpunga
NIna nafasi tatu zote ziko wazi! Huyu akikubali watakuwa wawili tu, nafasi mbili bado zitakuwa wazi zinangojea wake wema wengine Insha Allh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…