Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Jamani nimeamini kuwa naweza siasa, hasa siasa za Tanzania. Tatizo langu ni moja tu! MTU WA KUNIANDIKIA HOTUBA ZANGU! Kama humu ndani ku yeyote anayeweza kuandika hotuba zenye mvuto kama za JK basi tuwasiliane.
Sitaki yule atakayeandika ahadi za ukweli! Kitu kama kujenga kumbi za disco kila kata na vitu ka hivyo.
Nasubiri mtaalamu huyo
Sitaki yule atakayeandika ahadi za ukweli! Kitu kama kujenga kumbi za disco kila kata na vitu ka hivyo.
Nasubiri mtaalamu huyo