Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
gombea mkuu, Dar hapana ugumu wowote bana
- Ili uelewe kwamba wana-JF tutakutana huko kwenye uchaguzi wa taifa badala ya kukalia hapa tu, vipi kuna sheria imevunjwa au ni zile zile zako za Biodiesel?
FMEs!
Generally utakuwa na aidha Keenja ambaye hatishi,au Bi shamsha mwangunga fisadi wa ngorongoro naye wasiwasi labda amwage fedha nyingi na hatoweza kwa mujibu wa sheria.
JIPANGE KIJANA JIMBO LAKO!!!😀
Kwa hiyo, pamoja na kutangaza dhamira yangu ya kugombea ubunge katika eneo ambalo ni Jimbo la Ubungo; haiwezekani kwa sasa kutangaza kwa hakika nitagombea katika jimbo gani mpaka pale Tume ya Uchaguzi itakapotangaza maamuzi yake kuhusu mgawanyo wa majimbo baada ya kupokea mapendekezo hayo toka kwa serikali. Iwapo Tume ya uchaguzi italigawa jimbo la Ubungo nitalazika kutangaza upande ambao nitagombea. Ni wakati wa mabadiliko; tuwajibike.
John Mnyika
Jimboni Ubungo-21/03/2010
Kwahi hiyo? Pasiwepo na kugombea? Hatuna haja na bunge? hatuna haja na mabadiliko? je mabadiliko yatakuja vipi wasipopatikana wagombea?Pasi shaka kwa kuzingatia taratibu, CHADEMA imeridhia na kukupitisha kugombea katika jimbo lolote lile?...ikiwa hivyo, pana shaka, sie wananchi twategemea maendeleo ya vitendo na sio porojo za kisiasa kama ilivyo sasa kwa waheshimiwa wengi si tu wa chama tawala bali pia wa upinzani!.Mkianza kuomba "kula", propaganda nyingi za kuleta maendeleo kwa vitendo, lakini tukiwapa "kula", yote huwa ni nadharia tu!,.
Ipo hapa JF wewe tafuta tu. Ilikwisha toka siku nyingi.Tunasubiri tuone ilani ya chama chako kwanza!!!!!!!!!
Mi nakushauri ukagombee Mtera au ukamsapoti yule mgombea wa Mtera!- Ili uelewe kwamba wana-JF tutakutana huko kwenye uchaguzi wa taifa badala ya kukalia hapa tu, vipi kuna sheria imevunjwa au ni zile zile zako za Biodiesel?
FMEs!
Angalia avatar mwenye macho aambiwi ona...........chama kipi?
nimekusoma mkuu.... tupo pamoja.Angalia avatar mwenye macho aambiwi ona...........