Natangaza rasmi kuihama Yanga

Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Hayo ni naazimio ya uongozi, wanataka yanga ikutane na simba mapinduzi ili kujipima Kama kweli Lwandamina anaweza
Tangu lini ulikuwa yanga
Mshabiki wa timu huwa ahami timu kwa kufungwa
 
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc: Nifah.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Niliwaambia pumzi ya yanga imekata baada ya ushiindi wa 2.Nikasema acheni kelele maana kila timu ni mbovu,sasa hii si aibu ya mwaka hii.
 
Kama hujui game linavyokwenda kaa kimya !!!!! Ni mchezo wa hesabu na kumtafuta wa kukutana nae
 
Wacha ujinga. Utajuaje wa kukutana nae na mechi inachezwa kesho?Kubali mmepigwa ARBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…