Hata Kama ni mahesabu ndo uruhusu goli nne? Historia imeshaandikwa hiyoKama hujui game linavyokwenda kaa kimya !!!!! Ni mchezo wa hesabu na kumtafuta wa kukutana nae
Umefanya nicheke kwa sautiNa ikitokea Yanga ikachukuwa hili kombe la mbuzi utalirudisha wowowo lako?
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Kufungwakufungwa atiiii!!!!Na Azam atamfunga Yanga mapinduzu tu na si Ligi kuu
Mama=kamaYanga yangu uwiiiiii nilipo najisikia vibaya sana. Mama kweli yanga wana ubavu wasingefungwa goli nne.Napata wasi wasi kwenye mashindano ya kimataifa. Nahisi tutaboronga kuliko miaka yote. Leo nimeangalia dkk tisini lakini hata shuti moja la kujaribu hamna alafu tumejaza wachezaji wa kimataifa.Hii ni hatari sana
Shhh wasikusikie utafukuzwa ushabiki bure. Wenzako wana hasira wewe unaleta utani.Yanga yangu uwiiiiii nilipo najisikia vibaya sana. Mama kweli yanga wana ubavu wasingefungwa goli nne.Napata wasi wasi kwenye mashindano ya kimataifa. Nahisi tutaboronga kuliko miaka yote. Leo nimeangalia dkk tisini lakini hata shuti moja la kujaribu hamna alafu tumejaza wachezaji wa kimataifa.Hii ni hatari sana
Kaka hii aibu, timu kubwa kama yangaHata man u alipigwa 4 kwa 0 na Chelsea mpira unadunda kaka
Pole. At least wewe ni mpenzi wa migongo wazi asiyetafuta mchawi.Usijali mkuu ngojea rufaa yenu nasikia wachezaji wa Azam kutoka Ghana hawana vibali vya kufanya kazi Zanzibar hivyo mtapewa ushindi wa mezani.Naipenda yanga lakini nimeshangaa yanga Leo wamekosa mipango kabisaaaaa Kama unasikiaga kupoteana ndo Leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole. At least wewe ni mpenzi wa migongo wazi asiyetafuta mchawi.Usijali mkuu ngojea rufaa yenu nasikia wachezaji wa Azam kutoka Ghana hawana vibali vya kufanya kazi Zanzibar hivyo mtapewa ushindi wa mezani.
Leo ndio mnajua. Nilifikiri mpira wenu wa jiwe haudundi. Kama unadunda punguzeni mdomo. Leo mmeshikwa mnakimbia jukwaa.Hata man u alipigwa 4 kwa 0 na Chelsea mpira unadunda kaka
Kwani Tanzania kama nchi ni mashindano gani ya kimataifa tunafanya vizuri? Labda mimi si mfuatiliaji nijuze.Yanga yangu uwiiiiii nilipo najisikia vibaya sana. Mama kweli yanga wana ubavu wasingefungwa goli nne.Napata wasi wasi kwenye mashindano ya kimataifa. Nahisi tutaboronga kuliko miaka yote. Leo nimeangalia dkk tisini lakini hata shuti moja la kujaribu hamna alafu tumejaza wachezaji wa kimataifa.Hii ni hatari sana
We sio yanga we utakua mkia tuSio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu