Daaah! Hivi zikiitwa aibu hii nayo utaiita aibu. Mbona ni vitu vya kawaida au kisa yangaaa.Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Kabisa! safari moja shamba ya pili gerejiAzam gari la mkaa
Selective memory sio nzuri.Nashukuru Kuwa Umejaribu Kuongea Ukweli Kuwa Ubabe Wako Ni Ndani Ya TANGANYIKA tu! lakini Ukitoka Nje Ya Tanganyika umekuwa Chakula Cha Watu...
Manake Hapa pa Jirani Yako tu Zanzibar Umekuwa Ukinyolewa Tokea Enzi hizo Mpaka leo... Lakini Subiri ukianyage Tanganyika Uone unavyojifanya hodari...
Nilikuwa Nawachora tu Kipindi kile Zilipozuka Tetesi Kuwa Uwanja Wa Zanzibar Ndiyo uwe Uwanja Wenu Wa Nyumbani Kwenye VPL.... Nadhani Sasahivi Mungelikuwa Relegator Munagombaniana Nafasi na Toto na JKT Ruvu... Manake Nje Ya Tanganyika Usingelimfunga Mtu...
Karibu sana mkuu.. kule hakuna Martin Sanya, ntakutandika mwendo huu wa speed ya 4GYanga ana kazi ya kupambana na matopeni na lambalamba kwa wakati mmoja.
Kazi tumeishaizoea sasa.
Bora tukutane na mikia sasa.
Umesema wewe. Msije mkaanza mengine tena. Uzuri tukifungwa tunakubali sio kuanza kusingizia waamuzi. Mara refa, sijui mkono kama vile football ni perfect game. Tunayaona kila siku EPL na la Liga hadi World Cup lakini watu wanakubali matokeo.Karibu sana mkuu.. kule hakuna Martin Sanya, ntakutandika mwendo huu wa speed ya 4G
Yetu yetu FC..
Nakukumbusha kuwa mmewahi kupiga mwamuzi akina Mwasika wakapewa adhabu,bado tunatatizo na marefa ukilinganisha na ligi za Ulaya, kwenye haki lazima tuseme, mbona mwaka jana Simba 0 Yanga 2 hakuna ayelalamika.. Ila safari hii Martin Sanya aliwabeba vilivyoUmesema wewe. Msije mkaanza mengine tena. Uzuri tukifungwa tunakubali sio kuanza kusingizia waamuzi. Mara refa, sijui mkono kama vile football ni perfect game. Tunayaona kila siku EPL na la Liga hadi World Cup lakini watu wanakubali matokeo.
Juzi jamaa wametupia goli la offside lakini hakuna anayepiga kelele. Sasa ingekuwa upande wao, refa angesurubiwa mwaka mzima!
Yule refa na second official wafungiwe kwa ile offside goal?
Shabiki maandazi utamjua tu, na wewe shabiki sasa? Asernal alipigwa 8 Leo anajaza uwanja mashabiki ije iwe 4.??Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Hama tu...sambusa wahedi!Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Tunakutakia kila la heri. Kumbuka mpira wa sasa ukizidiwa unaweza kupigwa idadi yoyote ya magoli. Azam walicheza vizuri wakatumia makosa yetu barabara na kupata ushindi huo. Tunawapongeza kwa kurudisha hadhi yao iliyopotea tangu mwaka jana. Mapinduzi Cup inaendelea na Yanga tayari imeshafuzu kucheza nusu fainali. Namsikitikia atakayekutana na Yanga katika hatua hiyo!Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Akili zimewarudia bado mtaleta sahali tu.Iliponyesha mvua waungwana wameshajua panapovuja. Hizo zingine ni kelele tu za debe tupu.4 G imefanya wengi wenye viburi wawe na heshima kama mwali aliyepo unyagoni akisimamiwa na manyakanga. Leo tutapewa kila mifano ya timu kufungwa. Mifano hiyo imeanza leo?Haikuwepo kabla ya mechi ya ARBA?Tunakutakia kila la heri. Kumbuka mpira wa sasa ukizidiwa unaweza kupigwa idadi yoyote ya magoli. Azam walicheza vizuri wakatumia makosa yetu barabara na kupata ushindi huo. Tunawapongeza kwa kurudisha hadhi yao iliyopotea tangu mwaka jana. Mapinduzi Cup inaendelea na Yanga tayari imeshafuzu kucheza nusu fainali. Namsikitikia atakayekutana na Yanga katika hatua hiyo!
Kama unafuatilia vizuri ligi za wenzetu sasa hivi bao 4, 5, 6 hata zaidi siyo ajabu tena kama ilivyokuwa huko siku za nyuma. Real Madrid ambaye ni klabu bingwa ya dunia alishawahi kuchezea kichapo cha goli 5, Asernal unakumbuka yaliyomkuta pia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mama mkanye mwanao goli la 3 lililofungwa na Mahundi kwa mujibu wa mtangazaji