britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Hashimu Sipunda?Basi sawa. Wale wenzangu tuliompa kura mh. Punda. Vipi msimu huu, Maana mzee wetu naona kimya.
Sure MKuuNakazia
Rungwe punda au niweke cv yake.Hashimu Sipunda?
Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kuraMbona mgombea umemwacha? au hujui ni Lazaro Nyalandu? na ameshaeleza mambo atakayofanya ndani ya siku 100 za kwanza
(0) Watanzania kwanza - Kila Mtanzania awe na furaha katika nchi yake
(1) Maridhiano ya Kitaifa
(2) Kukamilisha Mchakato wa Katiba ya Wananchi
(3) Kurekebisha sheria zinazozuia dhamana.
britanicca naomba uweke vipaumbele vya hao uliowaorodhesha tupime?
Inategemea huyo wa upinzani atakuwa na sera gani mbadala dhidi ya za Mh. Magufuli. Mpaka sasa aliyetamka kitu ni mmoja tuuBado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Wewe akili zako ulizipima wapi na lini ukajua kama ziko timamu?Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Usiwaze hivyo mkuu,utaishia kuwatukana Watz wenzako ikiwemo watu unaowaheshimu.Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Ushauri wa bure, wakikosa sera safi, usikae kimya, washauri the best way forward na wewe unga mkono juhudi.Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa kimya
Britannica