We jamaa wa Missenyi eti?Ushauri wa bure, wakikosa sera safi, usikae kimya, washauri the best way forward na wewe unga mkono juhudi.
2025 tunaweza kui introduce private airports hivyo ile ya Chato tukampa Katto, kisha tukamuomba rais Magufuli ajenge ule uwanja wa ndege wa Omukanjuguti.
P
Rungwe alishasema akipata Uraisi masela wote tunakwea Emirates kituo Dubei kula bata.Rungwe punda au niweke cv yake.
Yule ni role modo wangu mkuu.
Nakazia, HAKUNAABado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Excitly.... Na kilimo tunamwagilia kwa helicopter. Nikampa kura yangu. Simsikii thus timeRungwe alishasema akipata Uraisi masela wote tunakwea Emirates kituo Dubei kula bata.
[emoji1][emoji1][emoji1]
Ushauri wa bure, wakikosa sera safi, usikae kimya, washauri the best way forward na wewe unga mkono juhudi.
2025 tunaweza kui introduce private airports hivyo ile ya Chato tukampa Katto, kisha tukamuomba rais Magufuli ajenge ule uwanja wa ndege wa Omukanjuguti.
P
Duh...!.
Muunge mkono Magufuli wewe, achana na hao vibaraka wa mabeberu.Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.
Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?
Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya
Britannica
Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.
Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?
Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya
Britannica
Baada ya kukosa uteuzi ndio unamuona jpm kama shetani?? Komaa naye hivyo hivyo hatuhitaji sapoti yako.Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.
Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?
Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya
Britannica
Sio wewe peke yako wapo wengi tu sema hawana pakusemeaMi mwenyewe MCCM, ila mwaka huu nitachuja tu....
Sahihi kabisaYaani bado mnataka membe awe rais? kupitia chama gani? mm binafsi Lissu hasipo pitishwa sitapiga kura kwa mataperi.
Narudia tena hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kumpigia Magufuli kura.Wewe akili zako ulizipima wapi na lini ukajua kama ziko timamu?
Kama ulitumia akili hizo kumpigia kura mwaka 2015, hukujua kama akili zako haziko timamu?
Dawa gani umepata kwa sasa ambayo imefanya akili zako kwa kuwa timamu!
Tanzania kuna vituko!
Afdhali umesema ukweli wako. Umekuwa very fair.Mimi kwa kulipenda Taifa hili ,,ntamsapoti Mgombea YOYOTE Imara ,,, orodha yangu ya preference ipo hivi
1;TUNDU ANTIPASS LISSU
2; ZITTO ZUBERI KABWE LUYAGWA
3; JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
Huyu WA mwisho ni BORA KULIKO Nyalandu na Mbowe,pia Wengine katika vyama vingine
Nani huyo mweke aisee. Tumle nyama hivi hivi yaaniWewe nilikuambia uombe msamaha kwanza kwa ulitufanyia apo Karagwe,Bukoba Vijijini na Muleba. Kuna siku nitaweka picha yako apa
lakin hakuna mtu mwenye akili timamu hatampigia magufuri kuraBado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Bado namsubiri maana July nakuja kuwatafuta MafiasNani huyo mweke aisee. Tumle nyama hivi hivi yaani
zitto alivyokamatwa juzi dah! too sadMimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.
Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?
Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya
Britannica