Uchaguzi 2020 Natangaza rasmi kumpigia kampeni yeyote atakayesimama dhidi ya Magufuli kwenye Kinyang'anyiro cha Urais 2020 akawa serious

Kwani na wewe ulitumbiliwa?
 
Km wewe NI mwanachama wa CCM naamini ni wale wenye KADI simply kwa kuaminika kuwa ukiwa nayo NI sawasawa na DRIVING LICENCE YA MAMBO YAKO....
KINYUME chake mwanachama asiye MFU anakielewa CHAMA kinagaubaga....kwa wanaokipenda sana CHAMA CHETU huwa TUNA MADARASA YA ITIKADI...
MADARASA ya ITIKADI yakizama vema mishipani kamwe HUTOKUWA MFURAHISHA GENGE KM WEWE,KALAGHABAHO!!
 
ongezea na NYALANDU.Jamaa yuko vizuri
 
Wanaomshanga MREMA HUKU KUMENOGA
 
mngetumia mda huu kumaliza mzozo wenu wa nani agombee maaana ccm washamaliza yao sasa mnasubiriwa nyie, kama ni membe semeni tu kwan shida iko wap
 
Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Mimi nitampigia.
Haijalishi wewe ni ccm au mpinzani lazima ubanwe tu ukileta za kuleta.No free lunch!
 
yaaani we unawaza atakaempigia kura magu wakati sisi tunawaza tunamuongezeaa vipi awamu 6 zingine baada ya hii ya october
ebu pitia kwanza apa: The third term call for Magufuli refuses to die
Una mawazo ya kijinga hakuna mfano, watumishi wa umma for almost 5yrs hawajui nyongeza ya mshahara wakati bei za bidhaa zinapanda, wakulima wanapoteza uhakika wa mazao yao, wavuvi wanaitwa majangili na nyavu zao zi azolipiwa kodi wanakamatwa nazo huku vijana wanamaliza masomo hawana ajira? Wewe usemayo haya lazima uwe mpumbaf kabisa mbele ya jamii hii.
Huyo jiwe wenu ni sumu kwa taifa na kuendelea kuruhusu kuwepo kwenye ile ofisi ni laana kwa nchi
 
Wacha tuwe wapumbavu ila ukweli ni mengi mazuri Magufuli kafanya kulinganisha na mabaya.
Suala la ajira na kutopandisha mishahara hivi vimetufanya tufikilie nje ya box yaan tusiwe watumwa wa kuwaza waza ajira.

Alafu nikwambie kitu "Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua ki maendeleo ni lazima tu wawepo watao umia ili wengi waje wafurahie baadae".
 

tunataka uyo sumu aongezewe awamu nne zingine
 
Kashakatwa
 
wapo ccm wengi sana watakaopigia cdm
 
Kwani na wewe ulitumbiliwa?
Atakuwa alitumbuliwa mihasira yake ndio anaileta sasa akipotea muda mrefu sana .Uhakika atakuwa alitumbuliwa au aliondolewa kadawati kenye tu maruprupu kibao!!! Hasira alizokuja Nazi ni za mtu aliyetumbuliwa au.kuondoshwa kiti chenye asali

Aende zake huko hiyo kura yako mleta mada Mimi CCM siitaki .nilishasema humu Mimi binafsi kura za vyeti feki waliotumbuliwa na hawa watumbuliwa kama mleta mada kura zenu sitaki ni nuksi kabisa kawapeni huko wengine sio CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…