Hivi nyie Mnaetoa comment za kipuuzi,ungekuwa ungefanya nini...huyo Mume wake aongei chochote kwa Mke wake,Mke ndo kidume,Anatoka kwake Anakuja kwangu anakuja kupga stori anasema kwake Panaboa,wakati huo ndo kavaa kanga tu,
Haishi kuhama kochi moja kwenda lingine,
Huwa Anasema ipo siku atanivamia nikiwa bafuni,ataingia na ndo Yake then nikimtoa baruti atapiga kelele nilitaka kumbaka,
Nikirudi tu huwa napewa msosi huwa Nakula kidume nanjaa nikatae chakula hapana,
Vituko ni vingi,Mwanamke anamwita mme wake Zuzu jamaa anacheka tu.
Anakuja kubadilishia nguo sebulen kwangu,
Acheni nyie Mwanamke akitaka kukupa matatizo anakupa tu,
Ukweli ni kuwa huyu Mdada Ni Mzuri tena sana,Na mambo anayonifanyia cpati picha kuwa kumbe kuna SIRI za namna hi nyingi,