Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

wewe unafaa kutegeshewa tego la Kobe au lile la Kiboko, ndio utatia akili na ole wako nigundue, pumbaf kabisa wewe
 
Kula usikubali kuwa nyuki wa mashineni.



duuuuuhhhh...! nyuki wa mashineni wakoje....??


kama mshikaji kaaamua kujitengenezea kabuli lake akizani ni sifa basi tumuache aendeleee maana inaonesha keshafanya maamuzi tayari ya kupita na huyo shemeji (aliyeijia chaja ya "pini" ndogo akiwa kanga moko) yake....!!!
 

Hamna hata moja yenye nafuu
 
Fanya shosti yako mwenyewe hukuazima usimpe huyo tuu yoyote atakae kukera mpe hukuinunua umepewa bureeeee...
 
kwanza nilijua wewe ni demu kumbe kidume. kua kijana. acha kufagilia unzinzi, soma maandiko matakatifu ukumbuke juu ya uzinzi kuwa ni dhambi.
 

Kwa hiyo mkuu unataka umpe na chaja ya pini kubwa sio? Neno langu, kwa huyo demu kuja na kanga moja mpaka kwako kuna mawili: wewe bado bikira (hujaoa) au umetaliki. Huyo demu ni mjumbe wa kuwa unapaswa kuoa sasa.Achana na vya watu tafuta wako na tulia naye. Haya mavitu hayana tofauti ila ni illusion zetu tu wanaume. Ka hutosikia,jiandae pia kutolewa bikira.:hatari:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…