Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Wakuu,

Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu...

Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu!

Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi.

Hasa wewe Smart @Mahondow Demiss Mshana Jr mnaringa sana.

Ngoja niangalie nani nimwibie ili kelele zenu ziishe ha ha haaa...

Nasema hivii...sijui nimuibie Daby au ngoja nimuibie Shunie..

Bado nipo nawaza hapa nimchukue wa nani...ila kama kuna ambae hana beb humu ajiunge nami tukwapue hahahaa...

Akili za asubuhi za kiporo na chai[emoji3] [emoji125]
 

Ukishampata jitahidi umpime UKIMWI hata mara 100 ili kujiridhisha nae kusudi huko mbeleni tusije kulaumiana.
 
Hata mi sina bebi km vp tuyajenge mahusiano yaliyo bora
 
Tutabanduana kwa 'maandishi' live nooo

Labda umpate huyo Mwanaume wa ' hovyo hovyo ' ndiyo mtafanya hivyo ila ' usijiroge ' ukaangukia Kwangu kuna uwezekano hiyo ' Mbunye ' yako ikabadilika hadi Kimwelekeo na kwa rangi yake pia. Tafadhali kama ikitokea tu ukamkosa huyo ' Bebi ' kama unavyomtafuta hebu fanya kama vile umekosea na uangukie Kwangu ili nikuonyeshe kwanini hutakiwi Kumfukuza Kuku Mweusi Gizani.
 
Hakika ni akili za asubuhi...

Labda kwa msaada wa Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…