FurtherOfTheSun
Member
- Aug 31, 2023
- 28
- 72
Pilipili mbuzi maarufu kama mwendokasiPilipili kichaa au pilipili manga?
Hapa alikuwa anatakatisha pesa tu ,hakuna mkulima....Pilipili zimeshaanza kuoza ndiyo anazifungasha?
kama huli kitimoto huwezi elewa umuhimu wa pilipili na raha yakeChakula chenyewe watu wanakipata kwa shida sana , halaf bado wakila wanaweka pili pili, kula huku wanawashwa washwa, haya mateso sijui watu ndio kuyazoea au???π

Ekari mojaMkuu umelima Pilipili Kiasi Gani?
Nashukuru nduguHongera sana.