Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

Kwahiyo Jiwe lililo washinda waashi sasahivi linachomwa moto? Mm Kwa uelewa wangu najua liko kwenye process ya sedimentation
 
Mbona yeye ni maarufu na mkubwa kuliko hao wote. Usimfananishe Dj DON NALIMISON na vitu vya hovyo

Pamoja na umaarufu wake itakuwa vigumu kwake kutoboa peke yake.

Mtu mwenye view 100m anaweza kukufundisha moja ama mawili, promo, mawazo, nini cha kuacha, kuweka kwenye video, ukapata contacts zake, wafuasi wake.

Karibu kila kitu ni kuhusu connection, collaboration, kushirikiana, ushirikiano.
 
Hivi unajua yumo kwenye list ya maDJ bora duniani? Baada ya David Gueta, Calvin Harris,Major Lazor ndio anafuata Dj DON NALIMISON , kampita hadi DJ Snake
 
Hivi unajua yumo kwenye list ya maDJ bora duniani? Baada ya David Gueta, Calvin Harris,Major Lazor ndio anafuata Dj DON NALIMISON , kampita hadi DJ Snake

Sawa, nilijaribu kusaidia kwamba hata USA, itakuwa vigumu tena zaidi kutoboa peke yake, lazima mtu fulani akushike mkono mwanzoni.
 
Muziki wako anzia kwanza kuburudisha kwenye bar.za wauza pombe za kienyeji kwa sasa hauna viwango vya kusikika kwenye vyombo vya habari au nenda bongo star search ujutane na salama akupe vidonge vyako
 
,😂😂😂😂 Kaka wenzio tushamzoea dj don we humjui achana nae kabisa....

Namjua, nimsoma sana.

Anaweza kuwa na issues, lakini labda akipata muongozo anaweza kusaidikika na kusaidiwa baadaye akajisaidia mwenyewe na kuwasaidia wengine.

Anyway maoni ni bure.
 
Huyu jamaa sijui ana akili za aina gani kwa kweli

Akili yake siyo mbaya, kivile, ana uthubutu, anajiamini, anajaribu, ni mtekelezaji, muwazi.

Tatizo labda ni la hapa na pale kuhusu mental issue ambalo combination, ushauri, dawa,direction lita tatua.
 
Ukimfuatilia Asha Raymond. Utagundua wazazi wake walihama Jimbo Moja kwenda lingine ili mtoto wao atoboe kimziki. Mimi binafsi naamini ningezaliwa USA ni lazima ningekuwa FBI / CIA / Army Solder. Ila ndo hivyo Africa bahati Mbaya.
Sasa sikia, km kweli ufbi upo damuni mwako eleza vizuri nikupe deal la kukupatia millions of money hapa hapa bongo kwa kutumia ufbi
 
Bora uondoke maana unatubania nafasi hapa jf.
 
Mkuu hivi ni kwanini uliswekwa lupango??
Ni kosa gani hasa ulifanya ??
 

Nimekupa "like" kwa kukuonea huruma na kwa maneno haya
"Sihitaji kupewa Pesa Mimi Ni mtafutaji hivyo sihitaji kutafutiwa natafuta Pesa zangu mwenyewe kwa nguvu zangu".
Mungu akubariki sana.
 
Wewe ni mwanamuziki kweli! Na picha umeweka unaimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…