Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

Ukimfuatilia Asha Raymond. Utagundua wazazi wake walihama Jimbo Moja kwenda lingine ili mtoto wao atoboe kimziki. Mimi binafsi naamini ningezaliwa USA ni lazima ningekuwa FBI / CIA / Army Solder. Ila ndo hivyo Africa bahati Mbaya.
Umeambulia kuwa nani mkuu?
 
Kwahiyo ndo umeamua kuvaa kama twenty per asilimia asilimaile au 20 per cent ndo msanii unaempenda?
 
Haya bwana
 
😂😂😂mwamba unafanya mpaka watu wanishangae hapa mgahawani kwakucheka..... mi nakubali saana post zako
 
Namjua, nimsoma sana.

Anaweza kuwa na issues, lakini labda akipata muongozo anaweza kusaidikika na kusaidiwa baadaye akajisaidia mwenyewe na kuwasaidia wengine.

Anyway maoni ni bure.
Huyo Kesha amua hivyo alivyoamua twende nae hivyo hivyo ni mkongwe haitaki kuamuliwa Tena.
 
Huyo Kesha amua hivyo alivyoamua twende nae hivyo hivyo ni mkongwe haitaki kuamuliwa Tena.

Wengi wako hivyo, kabla ya maini firigisi, utumbo, moyo, digestion system kisukari, ndio wanachukua tahadhari, it is kind of late, too late. Muda umepita sana.

Muhimu kuwaambia vijana, Serikali kubadilisha elimu yetu iundwe kusaidia taifa la kesho.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…