Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

Akili yake siyo mbaya, kivile, ana uthubutu, anajiamini, anajaribu, ni mtekelezaji, muwazi.

Tatizo labda ni la hapa na pale kuhusu mental issue ambalo combination, ushauri, dawa,direction lita tatua.
huyu jamaa ni mzima alileta hadi uthibitisho wa vyeti humu labda kama haukuona
 
Dah tutamiss sana kazi zako zilizoenda shule mkuu
 
Hongera wahi kubeba box.Mimi TANZANIA sihami hata nyoote mkiondoka nchi imejaa utajiri KILA kona madini tele unachimbia tu bila hata vibali na pesa unapata,ukishindwa tajirika TANZANIA Shamba la bibi wapi pengine utavuna pesa.
 
Ukimfuatilia Asha Raymond. Utagundua wazazi wake walihama Jimbo Moja kwenda lingine ili mtoto wao atoboe kimziki. Mimi binafsi naamini ningezaliwa USA ni lazima ningekuwa FBI / CIA / Army Solder. Ila ndo hivyo Africa bahati Mbaya.
Afrika njema tu ukiifumania mbona bata unakula ulaya tu
 
Hongera wahi kubeba box.Mimi TANZANIA sihami hata nyoote mkiondoka nchi imejaa utajiri KILA kona madini tele unachimbia tu bila hata vibali na pesa unapata,ukishindwa tajirika TANZANIA Shamba la bibi wapi pengine utavuna pesa.
Hata bwana.
 
Don kama doni..endelea kuupiga mwingi..usikate tamaa..ila sio mbaya kujaribu kwingine..all the best..ila acha kutukana serikali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo magufuli yupo motoni?

Dah hapa umetumia mihemko kuandika hili

Mkuu albam yako ishatoka?
 
nahisi kauchizi kamekuanza mkuu
 
Hahahahaaa mkuu Don nakubali Ile kazi Yako ya Bogus Politicians
Imemekaa njema Sanaaa nilikuelewa ila wajinga wengi hawakuelewi sababu umewazidi maarifa!

Bogus Politicians Kama kina kimbunga Jobo Mzee wa Galilaya Ndio wanaotufanya kama nchi tusipige hatua!
😁😁😁😁😁
 
Kwa hiyo unataka siye tukubembeleze? wee jamaa bhana....
 
Unaweza kuiweka hapa hiyo kazi yake tuisikilize wote?
 
Dah! we jamaa unazingua
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…