falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wakuu Mambo vp
Natarajia kufika mji wa Kigali mwezi ujao...mwenye amewahi kufika au anaishi Kigali aniambie vifuatavyo
Gharama za kulala kwa madaraja yote matatu yaani chini Kati na juu
Nataka kujua kuhusu usalama ukoje kwa ujumla
Safari yangu ni ya siku nne bajeti milion moja na nusu
Kama kuna dondoo napaswa kuzifaham let me know
Je vyakula vyao vikoje
Oops nilitaka kusahau upatikanaji wa bidhaa yetu penda sisi wanaume ukoje