Habari wandugu! Leo ndio narudi Tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri. Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na...