Unafugaje kwenye ziwa? Au unavua?..ufugaji wa samaki aina ya Sato ziwa victoria,..
Hivi Tofauti yake ni nini na wale wa changanyikeni🤣Samaki wa kufuga hao
Labda anamaanisha uweke namba ya simu kwa mawasiliano.Namba yangu unayo mkuu?
kibua kiasi gani?Mkuu mimi nipo Moshi Kilimanjaro nafanya hii biashara ya samaki, ila napenda wale wa kibua hawa kidogo utokaji wake ni changamoto. Naweza kupata wale wa kawaida?
Mwanza ziwa victoria ni freshwater hakuna ufugaji wa vibua,(vibua ni maji chumvi hasa baharini)Mkuu mimi nipo Moshi Kilimanjaro nafanya hii biashara ya samaki, ila napenda wale wa kibua hawa kidogo utokaji wake ni changamoto. Naweza kupata wale wa kawaida?