Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
HERI YA SIKU YA PASAKA WAKUU..

Kama kawaida leo ni sikukuu na hua sikukuu ndio siku ninayo import kazi niliyoilewa jf(piemu) angalau ije nyumbani tusherekee kwa pamoja. Watalaam wanasema jiko la bachela au msela leo linafuka moshi.

Kama kawaida master chef wenu leo nawaletea hatua kwa hatua maandalizi ya chochote kitu mtawakilishwa na huyo mwenzenu kwenye kula[emoji23]..

Karibuni hatua kwa hatua

Maandalizi

Kuku mzima
Kitimoto kg 2
Unga wa ngano
Mayai mawili
Ndizi chaguo lako(mshare au mzuzu)
Viungo muhimu kama chiken masala,pilipili manga,vitunguu thoum,tangawizi mbichi,limao,karot,hoho,matango,chumvi,halil motto,maziwa, n.k

Twende pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…