umemwagia mavi?Mzigo ushalowekwa kwenye viungo..tunaicha chini kama lisaa viungo viweze kuingia ndaniView attachment 1417089
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma nauli ya Uber nakuletea na Demi kabisa
hayupo wa kunificha dear, ngoja nije pm tuone kama inawezekana unifiche msimu huu wa pasakaAliyekuficha msalimie
Kapike basi uliwe kabisa
Dada angu unaweza matusi na mimi ?Kapike basi uliwe kabisa
Dada angu unaweza matusi na mimi ?
nimeongea utani tu mbona umenitolea lugha chafu ivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nakwama wapi kumbe watu wanakulana kimasihara ...naanza rasmi kupiga misele jf lounge
Sisi wengine tuko namvua huku maporini tukimbizana [emoji846][emoji846]
Huku Mzeebaba anakula viwili
Uber hakuna?