daisyvicky JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 343 Reaction score 198 Nov 28, 2012 #1 wakuu inakuaje mtu anawashwa sana na kubabuka hadi ngozi kutoka kwenye viungio vya mapaja na sehem yake ya vagina mara baada ya kumaliza menstruation.ni kind of infection or pads zinakua zimemdhuru au nini?
wakuu inakuaje mtu anawashwa sana na kubabuka hadi ngozi kutoka kwenye viungio vya mapaja na sehem yake ya vagina mara baada ya kumaliza menstruation.ni kind of infection or pads zinakua zimemdhuru au nini?
Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 228 Nov 28, 2012 #2 Imekuwa hivyo kwa muda gani? Pads zinazotumika ni hizo hizo since day 1 ama kuna changes? Naona maelezo ya ziada yatasaidia kupata ufumbuzi.
Imekuwa hivyo kwa muda gani? Pads zinazotumika ni hizo hizo since day 1 ama kuna changes? Naona maelezo ya ziada yatasaidia kupata ufumbuzi.
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Nov 28, 2012 #3 anatumia pads aina gani.
prianka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 684 Reaction score 168 Nov 28, 2012 #4 je huwaga anapata maradhi hayo pindi awapo kwenye siku zake au huwaga anatokewa 2
daisyvicky JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 343 Reaction score 198 Nov 28, 2012 Thread starter #5 wakuu haijawahi kutokea hali kama hii,pads zilizotumika ni always maxi na ndo hua zinatumika hizo siku zote,,tatizo lina siku ya tatu.
wakuu haijawahi kutokea hali kama hii,pads zilizotumika ni always maxi na ndo hua zinatumika hizo siku zote,,tatizo lina siku ya tatu.